Nenda kwa yaliyomo

Franka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Franka (kwa Kiitalia: Franca da Vitalta au da Piacenza; Piacenza, leo nchini Italia, 1175 hivi – Pittolo, 25 Aprili 1218) alikuwa bikira wa ukoo bora aliyejiunga na monasteri ya Kibenedikto akawa abesi alipokuwa na umri wa miaka 24 [1].

Baadaye tena alihamia urekebisho wa Citeaux akaanzisha monasteri mbili.

Alikuwa anakesha mbele ya Mungu hata usiku kucha[2].

Alitambuliwa kuwa mtakatifu na Papa Gregori X mnamo Septemba 1273.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50700
  2. Martyrologium Romanum
  3. "Biodata". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-08. Iliwekwa mnamo 2008-08-17. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Alban Butler (revised by Peter Doyle, ed. Paul Burns), Butler's Lives of the Saints: April new full edition (Tunbridge Wells, Kent, England: Burns and Oates 1999), p. 185.
  • Acta Sanctorum Month of April Part 3, April 25, pp. 379–404.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.