Mathayo Correa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Mathayo Correa (jina kamili kwa Kihispania: Mateo Correa Magallanes; Tepechitlan, Zacatecas, Mexico, 23 Julai 1866Durango, Mexico, 6 Februari 1927[1]) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kwa sababu alikataa kuvunja siri ya kitubio[2].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[3]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. History of the Knights of Columbus Mexican Martyrs. Knights of Columbus (2005-09-26). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-04-23. Iliwekwa mnamo 2007-12-27.
  2. Manuel, Alcántara; Mercedes, García Montero; Francisco, Sánchez López (2018). Arte y patrimonio cultural: Memoria del 56.º Congreso Internacional de Americanistas (in Spanish). Ediciones Universidad de Salamanca. p. 754. ISBN 9788490129166. 
  3. List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-25.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.