Nenda kwa yaliyomo

Emilia wa Villeneuve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Emilia wa Villeneuve.

Emilia wa Villeneuve (kwa Kifaransa Émilie de Villeneuve; Toulouse, Haute-Garonne, Ufaransa, 9 Machi 1811Castres, Tarn, 2 Oktoba 1854) alikuwa bikira Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Kukingiwa Dhambi ya Asili wa Castres[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XVI tarehe 5 Julai 2009, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 17 Mei 2015[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/95117
  2. "Consistory: three new canonisations approved". news.va. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-20. Iliwekwa mnamo 17 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.