Kayo wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kayo.

Kayo wa Milano (alifariki karne ya 3) alikuwa Askofu wa pili wa mji huo, Italia Kaskazini mwanzoni mwa karne ya 3[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Le vie di Milano, V. Buzzi, C. Buzzi - Ed. Hoepli, 2005
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.