Ignas wa Santhià

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ignas wa Santhià (5 Juni, 1686 - 22 Septemba, 1770) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Jina lake la awali lilikuwa Lorenzo Maurizio Belvisotti.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Aprili 1966, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Mei 2002.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 22 Septemba, iliyokuwa siku ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ignas wa Santhià kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.