Nenda kwa yaliyomo

Severo wa Auch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Severo wa Auch alikuwa padri wa Akwitania, leo nchini Ufaransa, aliyetumia mali zake kusaidia maskini na kujenga makanisa mbalimbali [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 1 Agosti[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.