Materno wa Koln

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa Mt. Materno.

Materno wa Cologne (kwa Kijerumani: Matern von Köln; 285 hivi - 14 Septemba 315) alikuwa askofu wa kwanza wa Cologne, Ujerumani[1] aliyeinjilisha eneo hilo na la Tongeren akitokea Trier alipokuwa askofu wa tatu.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.