Mirokle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Altare ya Mt. Mirokle ambayo chini yake panatunzwa masalia yake.

Mirokle (karne ya 3 - karne ya 4) alikuwa Askofu wa Milano, Italia Kaskazini wakati wa kaisari Konstantino Mkuu kutoa Hati ya Milano ili kuruhusu Ukristo katika Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.