Ubaldeska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ubaldeska alivyochorwa.

Ubaldeska (jina kamili la Kiitalia: Ubaldesca Taccini; Calcinaia, Italia, 1136 - Pisa, Italia, 1206) alikuwa bikira aliyemfuata tangu ujanani[1] Yesu Kristo katika familia ya kiroho ya Utawa wa Mt. Yohane.

Kwa miaka 55 alitekeleza matendo ya huruma katika hospitali ya utawa huo[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Mei[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Salani, Massimo. " Santa Ubaldesca Taccini Vergine dell'Ordine di Malta", Santi e Beati, December 3, 2001
  2. "St. Ubaldesca - Virgin of the Order of Malta". www.smom-za.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-02. Iliwekwa mnamo 2017-05-19.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Gabriele Zaccagnini, Ubaldesca, una santa laica nella Pisa dei secoli XII-XIII, Edizioni ETS, Pisa 1995

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.