Irene wa Thesalonike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Watakatifu Agape, Kionia na Irene.

Irene wa Thesalonike (alifariki Thesalonike, Ugiriki, 304) alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa akauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Pengine anatajwa pamoja nao ndugu zake Agape na Kionia waliouawa siku chache kabla yake[2]. Labda walitokea Aquileia (Italia)[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 5 Aprili[5] au 3 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Attwater, Donald & John, Catherine Rachel. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.
  • Schiavo, Anthony P. (2018). [[[:Kigezo:Google books]] I Am A Christian: Authentic Accounts of Christian Martyrdom and Persecution from the Ancient Sources]. Merchantville, NJ: Arx Publishing.  (Includes the complete English translation of the ancient Acts of Agape, Chionia and Irene)
  • Full online text of Hrotsvitha's play, Dulcitius, Fordham University.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.