Polioni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Polioni (alifariki Vinkovci, leo nchini Korasya, 302 hivi) alikuwa Mkristo msomaji ambaye alichomwa moto katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano kwa kuwa alikataa katakata kutoa sadaka kwa miungu akidumu katika kumkiri Kristo [1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.