Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Februari 2016) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

 1. acceleration * sw: mchapuko
 2. addiction * sw: addiction
 3. algorithm * sw: algorithm
 4. animation * sw: animation
 5. Capacitor * sw: kapasita
 6. circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
 7. classical mechanics * sw: classical mechanics
 8. complex number * sw: namba changamano
 9. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
 10. dialectic * sw: upembuzi
 11. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
 12. electronic music * sw: muziki wa elektroniki
 13. endocrine system * sw: mfumo wa tezi
 14. function * sw: function
 15. general relativity * sw: general relativity
 16. headache * sw: maumivu ya kichwa
 17. heart attack * sw: mshtuko wa moyo
 18. immune system * sw: mfumo wa kingamaradhi
 19. inductor * sw: inductor
 20. infinity * sw: infinity
 21. information * sw: taarifa
 22. linear algebra * sw: linear algebra
 23. logarithm * sw: logi
 24. martial arts * sw: martial arts
 25. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
 26. mathematical proof * sw: mathematical proof
 27. Mind * sw: mind
 28. nuclear fission * sw: nuclear fission
 29. number theory * sw: number theory
 30. numerical analysis * sw: numerical analysis
 31. operating system * sw: operating system
 32. pandemic * sw: pandemic
 33. pharmaceutical drug * sw: dawa za famasia
 34. physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
 35. programming language * sw: programming language
 36. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
 37. resistor * sw: resistor
 38. semiconductor * sw: semiconductor
 39. set theory * sw: set theory
 40. software * sw: software
 41. special relativity * sw: special relativity
 42. strong interaction * sw: strong interaction
 43. thermodynamics * sw: mwendojoto
 44. transformer * sw: transfoma
 45. transistor * sw: transista
 46. weak interaction * sw: weak interaction