Orson Welles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orson Welles
Orson Welles 1937.jpg
Orson Welles in 1937, photographed by Carl Van Vechten.
Amezaliwa George Orson Welles
(1915-05-06)Mei 6, 1915
Kenosha, Wisconsin, US
Amekufa 10 Oktoba 1985 (umri 70)
Los Angeles, California, US
Kazi yake Mwigizaji, Mwongozaji, Mwandishi, Mtayarishaji, Mwigizaji wa sauti
Miaka ya kazi 1934–1985
Ndoa Virginia Nicholson (1934-1940)
Rita Hayworth (1943-1948)
Paola Mori (1955-1985)

George Orson Welles (6 Mei 1915 - 10 Oktoba 1985), anafahamika kama Orson Welles, alikuwa mwongozaji wa filamu wa Marekani, mwandishi, mwigizaji na mtayarishaji, ambaye alifanya kazi sana katika filamu, maonyesho, televisheni na redio. Welles alikuwa pia ni mchawi aliyetimia, nyota katika vikosi mbalimbali vya usalama katika miaka ya vita.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orson Welles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.