Nenda kwa yaliyomo

Baroko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Teresa wa Avila kutoka nje ya nafsi yake, sanamu iliyotengenezwa na Gian Lorenzo Bernini.

Baroko (au Baroku) ni kipindi maalumu (1600-1750 hivi) katika historia ya sanaa ya Kikristo, hasa ya Kanisa Katoliki, ambapo ulikaziwa uzuri wa mbinguni na wa viumbe walioko (Yesu, Bikira Maria, malaika na watakatifu).

Mtindo huo ulianzia Roma (Italia) na kuathiri pia fasihi, muziki na falsafa.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baroko kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.