Heri
Mandhari
Heri (kwa Kilatini: Felicitas; kwa Kigiriki: Eudaimonia) ni hali ya raha kamili inayotazamiwa na watu wa dini mbalimbali kuwa itapatikana baada ya kifo na kudumu milele. Ni zaidi sana kuliko furaha.
Katika Ukristo
[hariri | hariri chanzo]Katika Ukristo heri inatazamwa kuwa ndiyo lengo kuu la viumbehai kadiri ya mpango wa Muumba, kama alivyoeleza Thomas Aquinas[1]: "Wote wanakubaliana kuhusu lengo kuu, yaani heri."[2] Aquinas alikubali hoja ya Aristotle ya kwamba heri inahitaji kutafutwa kwa kujipatia maadili.[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Aquinas, Thomas. "Question 3. What is happiness". Summa Theologiae. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Oktoba 2007.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Summa Theologica: Man's last end (Prima Secundae Partis, Q. 1)". Newadvent.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Summa Theologica: Secunda Secundae Partis". Newadvent.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Mei 2013. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- History of Happiness Ilihifadhiwa 16 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine. – concise survey of influential theories
- The World Database of Happiness – a register of scientific research on the subjective appreciation of life.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |