Muumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Muumba ni sifa mojawapo ya Mungu, kutokana na imani ya kwamba ndiye aliyesababisha vyote vianze na vidumu kuwepo.

Imani hiyo katika Uyahudi na Ukristo inafafanua kwamba Mungu pekee ndiye aliyetokeza viumbe vyote kutoka utovu wa vyote.

Katika dini zisizomsadiki Mungu mmoja tu, kazi ya uumbaji inafikiriwa kutokana na wahusika zaidi ya mmoja.

External links[hariri | hariri chanzo]

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muumba kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.