Ziwa Winnipeg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ziwa Winnipeg
Ziwa Winnipeg katika Kanada
Ziwa Winnipeg katika Kanada
Mahali Coordinates: 52°7′N 97°15′W / 52.117°N 97.250°W / 52.117; -97.250
Nchi zinazopakana Kanada
Eneo la maji km2 24,514
Kina cha chini m 12
Mito inayoingia mto ya Winnipeg, Saskatchewan, Red
Mito inayotoka mto Nelson
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
m 217

Ziwa Winnipeg (kwa Kiingereza: Lake Winnipeg; kwa Kifaransa: Lac Winnipeg) ni ziwa kubwa katika jimbo la Manitoba, Kanada. Liko kaskazini mwa mji wa Winnipeg . Ni ziwa kubwa zaidi katika kusini ya Canada.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Winnipeg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.