Waorthodoksi wa Mashariki
Mandhari
(Elekezwa kutoka Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki)
Waorthodoksi wa Mashariki ni jina linalotumika pengine kuhusu Wakristo wa Makanisa ya Mashariki ambayo katika karne ya 5 yalitengana na Wakatoliki na Waorthodoksi kwa kutokubali uamuzi wa mojawapo kati ya Mitaguso ya kiekumeni, hasa ile ya Efeso (431) na Kalsedonia (451).
Makanisa hayo ni ya kitaifa, kama vile:
- Kanisa la Kitume la Armenia
- Kanisa la Asiria
- Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia
- Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea
- Kanisa la Misri
- Kanisa la Kiorthodoksi la Siria
- Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara
Jumla ya waumini ni milioni 84 hivi, wengi wao wakiwa Waethiopia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Betts, Robert B., Christians in the Arab East Ilihifadhiwa 4 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine., Lycabbetus Press (Athens, 1978)
- Charles, R. H. The Chronicle of John, Bishop of Nikiu: Translated from Zotenberg's Ethiopic Text Ilihifadhiwa 7 Juni 2015 kwenye Wayback Machine., 1916. Reprinted 2007. Evolution Publishing, ISBN 978-1-889758-87-9
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Orthodox Joint Commission
- The Standing Conference of Oriental Orthodox Churches in America
- Encyclical, Pope Benedict XIV, Allatae Sunt (On the observance of Oriental Rites), 1755 Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Common Declaration of Pope John Paul II and HH Mar Ignatius Zakka I Iwas Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- Joint Declarations Between the Syriac Orthodox and Roman Catholic Churches
- Dialogue with the Oriental Orthodox Churches on the Anglican Communion Website
- Dialogue with the Oriental Orthodox Churches on the Vatican Website
- The Rejection of the Term Theotokos by Nestorius Constantinople
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waorthodoksi wa Mashariki kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |