Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara
Mandhari
Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara ni mojawapo kati ya yale ya Waorthodoksi wa Mashariki.
Inasemekana asili yake ni kusini mwa India mwaka 52 BK kwa juhudi za Mtume Thoma.
Kihistoria, Wakristo wa huko walikuwa na ushirika na Kanisa la Asiria.
Walipofikiwa na wale wa Ureno katika karne ya 16wengi hawakupenda kulazimishwa wafuate mapokeo ya Ukristo wa Mashariki, hivyo wakaanza kufarakana.
Baadhi wakakimbilia msaada wa Kanisa la Kiorthodoksi la Siria na kujiunga nalo (1665).
Waliohama Kerala katika karne ya 20 walieneza imani na mapokeo yao sehemu mbalimbali duniani.
Kwa jumla wako milioni mbili unusu.
Makao makuu yako Kottayam.
External links
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website of the Indian (Malankara) Orthodox Church
- Official website of the H.H. Moran Mar Baselios Mar Thoma Paulose II – Catholicose of the East Archived 22 Januari 2016 at the Wayback Machine.
- Official Malankara Orthodox Church News (Catholicate News – Formerly Gregorian News)
- Official Malankara Orthodox Church Radio (Gregorian Radio)
- Official Malankara Orthodox Church TV (Gregorian TV)
- Malankara Orthodox Videos Portal (Gregorian Videos) Archived 13 Juni 2013 at the Wayback Machine.
- Malankara Orthodox Audios Portal (Gregorian Audios) Archived 7 Juni 2013 at the Wayback Machine.
- Gregorian Voice Archived 30 Septemba 2017 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |