Baiti
Katika utarakilishi, baiti (kwa Kiingereza: byte) ni kipimo cha taarifa ya tarakimu. Kwa kawaida, zina biti nane.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).