Biti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kumbukumbu linafanyizwa kwa biti 4096.

Katika utarakilishi, biti (kutoka Kiingereza: Bit, kifupi cha binary digit) ni kiwango cha msingi cha taarifa katika sayansi ya tarakilishi na utarakilishi. Biti zinabadilika kati ya 0 na 1.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).