Boeing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Boeing 737
Kiwanda kikubwa cha Boeing mjini Everett, Washington katika Marekani.

Boeing ni kampuni nchini Marekani ya kutengeneza eropleni, helikopta, roketi na vifaa vingine kwa matumizi ya kiraia na ya kijeshi kwa usafiri wa hewani na kwenye anga-nje. Ni kampuni kubwa duniani ya aina hii; katika utengenezaji wa ndege za abiria pekee ina nafasi ya pili baada ya Airbus ya Ulaya.

Makao makuu ya kampuni yalikuwepo Seattle, Washington lakini tangu 2001 yalihamishwa kwenda Chicago.

Modeli za Boeing zinazojulikana sana ni pamoja na

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]