Boeing 707 ni ndege ya saizi ya kati, ya masafa marefu na yenye injini nne iliyotengenezwa na kampuni ya Boeing Commercial Airplanes mnamo mwaka 1958 hadi mwaka 1979.
Ina uwezo wa kubeba abiria 140 hadi 219. Ni ndege ya kwanza katika kampuni hiyo.