Helikopta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hii ni helikopta ya kuzima moto.
Hii ni helikopta ya vita.

Helikopta ni aina ya chombo cha usafiri wa anga ambacho hakina magurudumu, ila mapanga kwa juu yake. Hayo yanakiwezesha kuinuka na kutua mahali popote pakavu.

Tabia hizi zinaruhusu helikopta kutumika katika maeneo yaliyojaa au yaliyotengwa ambapo ndege haziwezi kufanya kazi.

Kuna aina mbalimbali za helikopta kama helikopta za uzimaji moto, za vita n.k.