Seattle, Washington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jiji la Seattle
Skyline ya Jiji la Seattle
Nchi Marekani
Jimbo Washington
Wilaya King
Idadi ya wakazi
 - 594,210
Tovuti: www.seattle.gov
Seattle na Mount Rainier (mlima wa moto)
Seattle na Mount Rainier

Seattle ni mji katika jimbo la Washington (ncha ya magharibi na kaskazini ya Marekani). Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 3.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 0-158 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Seattle ni bandari ya uziwa. Seattle na Mombasa (Kenya) ni miji-ndugu.

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Mji umejulikana kimataifa hasa kwa sababu hadi 2001 ilikuwa makao makuu ya kampuni ya Boeing inayojenga ndege za abiria na mizigo.

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Seattle, Washington kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.