Roketi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Roketi aina ya Soyuz-U, huko Baikonur cosmodrome katika nchi ya Kazakistani.

Roketi (kwa Kiingereza "rocket" kutoka neno la Kiitalia "rocchetto", yaani "bobbin") ni kombora au chombo chochote kinachosukumwa na injini roketi.

Matumizi ya roketi kwa ajili ya jeshi na hata kwa burudani yalianza zamani sana, karne ya 13 huko Uchina.