Charles Babbage

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hii ni picha ya Charles Babbage.

Charles Babbage (26 Desemba 179118 Oktoba 1871) alikuwa mwanahisabati, mwanafalsafa, mwanzilishi na mhandisi wa mitambo ya Kompyuta.

Mawazo yake yanachukuliwa na wengine kuwa "baba wa kompyuta".

Babbage alitengeneza kompyuta ya kwanza, ingawa mawazo yote muhimu ya kisasa ya kompyuta yanapatikana katika injini ya uchambuzi wa Babbage.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Babbage kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.