Nenda kwa yaliyomo

Oscar Wilde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oscar Wilde

Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde (Oktoba 16, 1854Novemba 30, 1900) alikuwa mshairi wa Ireland na pia mwandishi wa maigizo ya vitabu.

Baada ya kuandika sana katika miaka ya 1880 alikuwa miongoni mwa waandishi maarufu sana jijini London katika miaka ya 1890.

Amekuwa akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. Pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama The Picture of Dorian Gray.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Wilde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.