30 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 30)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Novemba ni siku ya 334 ya mwaka (ya 335 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 31.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1406 - Uchaguzi wa Papa Gregori XII
- 1939 - Vita ya msimu wa baridi kati ya Ufini na Umoja wa Kisovyeti vilianza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1683 - Mfalme George II wa Uingereza
- 1813 - Charles-Valentin Alkan, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
- 1817 - Theodor Mommsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1902
- 1835 - Mark Twain, mwandishi kutoka Marekani
- 1869 - Nils Dalen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912
- 1874 - Winston Churchill, Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953
- 1889 - Edgar Adrian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1932
- 1912 - Gordon Parks, msanii wa Marekani
- 1915 - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
- 1926 - Andrew Schally, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1977
- 1945 - Telesphore Mkude, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1958 - Stacey Q, mwimbaji kutoka Marekani
- 1982 - Elisha Cuthbert, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 1987 - Smosh, yaani Ian Andrew Hecox, mchekeshaji wa mtandaoni kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Andrea, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Mirokle, Tudwali, Galgano Guidotti, Cuthbert Mayne, Thadayo Liu Ruiting, Yosefu Marchand n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |