James Cagney

James Cagney (Julai 17 1899 Machi 30 1986) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka Marekani. James alipata umaarufu zaidi kwa filamu za Hollywood. Alisifika sana kwa nyusika zake za kihuni na kijambazi. Alianza kazi yake ya sanaa kwenye Broadway kabla ya kuingia kwenye filamu. Umaarufu wake ulipanda haraka baada ya kuigiza katika filamu ya "The Public Enemy" mnamo 1931, ambapo alicheza kama Tom Powers, mhuni wa ghetto. Uigizaji wake katika filamu hii ulimletea sifa kubwa na kumfanya kuwa nyota.
Miongoni mwa filamu zake maarufu ni pamoja na "Angels with Dirty Faces" (1938). Humo alicheza kama Rocky Sullivan. "Yankee Doodle Dandy" (1942), alionyesha vipaji vyake vya kuimba na kucheza densi na kushinda Tuzo ya Academy kama Mwigizaji Bora. Filamu nyingine maarufu ni "White Heat" (1949), ambayo aliigiza kama Cody Jarrett, mhuni katili na mbabe.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
- James Cagney at the Internet Broadway Database
- James Cagney at the Internet Movie Database
- Kigezo:First word|* James Cagney at the TCM Movie DatabaseKosa la hati: Hakuna moduli kama "EditAtWikidata".Kosa la Lua: not enough memory
- Kigezo:AllMovie name
- Kigezo:First word James Cagney at Rotten TomatoesKosa la hati: Hakuna moduli kama "EditAtWikidata".
- FBI Records: The Vault - James Cagney Kosa la Lua: not enough memory at fbi.gov
- Photographs and literature Kosa la Lua: not enough memory
- James Cagney in the 1900 US Census Kosa la Lua: not enough memory, 1905 NY Census Kosa la Lua: not enough memory, 1910 US Census Kosa la Lua: not enough memory, 1920 US Census Kosa la Lua: not enough memory, 1930 US Census Kosa la Lua: not enough memory, and the Social Security Death Index Kosa la Lua: not enough memory.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Cagney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
