Pierre Curie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Pierre Curie pamoja na Marie katika maabara

Pierre Curie (* 15 Mei 1859 Paris/Ufaransa - + 19 Aprili 1906) alikuwa mwanafizikia Mfaransa aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Fizikia wa mwaka 1903 pamoja na mke wake Marie Curie na Henri Becquerel.

Alichunguza misingi ya sumakuumeme. Pamoja na mke wake aligundua elementi za poloni na radi. Maelezo yao yaliunda misingi wa kuelewa unururifu wa kinyuklia. Pierre Curie alishirikiana na mkewe Marie Curie katika ugunduzi wa elementi za radi na poloni na kupata tuzo ya Nobel ya kemia. Pierre Curie alikufa kutokana na ajali ya gari.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Curie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.