Antoine Lavoisier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antoine Lavoisier
Antoine Lavoisier

Antoine-Laurent de Lavoisier (Agosti 26, 1743 - Mei 8, 1794) alikuwa mtaalamu wa biolojia wa Ufaransa ambaye mara nyingi huitwa "Baba wa Kemia ya kisasa".

Kazi yake ni sehemu muhimu ya historia ya kemia na biolojia. Pia imechangia mwanzo wa nadharia ya atomiki.

Alikuwa mwanasayansi wa kwanza kutambua na kutaja mambo ya hidrojeni na oksijeni.

Aliuawa, kama ilivyokuwa kwa mamia ya wakuu wengine, wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Lavoisier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.