8 Mei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mei 8)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Mei ni siku ya 128 ya mwaka (ya 129 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 237.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1721 - Uchaguzi wa Papa Inosenti XIII
- 1945 - Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika Ulaya: jeshi la Ujerumani linasalimu amri
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1828 - Henri Dunant, mwanzilishi wa Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1901
- 1884 - Harry S. Truman, Rais wa Marekani (1945-1953)
- 1902 - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1925 - Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania
- 1930 - Gary Snyder, mshairi kutoka Marekani
- 1945 - Keith Jarrett, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1947 - Robert Horvitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 1954 - John Michael Talbot, mwimbaji Mkristo kutoka Marekani
- 1975 - Enrique Iglesias, mwimbaji kutoka Hispania
- 1975 - Mohamed Gulam Dewji, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1978 - Baraka Makaba, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 535 - Papa Yohane II
- 685 - Mtakatifu Papa Benedikto II
- 1967 - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani
- 1991 - Joseph Kramm, mwandishi kutoka Marekani
- 2007 - Abdullah_bin_Faisal_Al_Saud, mwana wa Mfalme wa Saudia
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Vikta Mwafrika, Akasi wa Bizanti, Eladi wa Auxerre, Arseni Mkuu, Gibriani, Desiree wa Bourges, Martino wa Saujon, Papa Bonifas IV, Papa Benedikto II, Metroni, Viro, Amato Ronconi n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |