Papa Boniface IV
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Bonifas IV)
Papa Boniface IV, O.S.B. (takriban 550 – 8 Mei 615) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Agosti 608 hadi kifo chake[1]. Alitokea mkoa wa Abruzzi, Italia[2][3]. Baba yake alikuwa tabibu, jina lake Yohane.
Alimfuata Papa Bonifasi III akafuatwa na Papa Adeodato I.
Chini ya Papa Gregori I alikuwa shemasi mkuu[4].
Alistawisha umonaki na kugeuza Pantheon, hekalu la miungu yote mjini Roma, kuwa kanisa kwa heshima ya Bikira Maria na wafiadini wote[5].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Andrew J. Ekonomou. Byzantine Rome and the Greek Popes. Lexington books, 2007
- ↑ Oestereich, Thomas (1907). "Pope St. Boniface IV". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 2. Robert Appleton Company.
- ↑ MacDonald, William L. (1976). The Pantheon: Design, Meaning, and Progeny. Cambridge, MA: Harvard University Press. ISBN|0-674-01019-1
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Beda Mhashamu, Historia ecclesiastica gentis Anglorum
- Gasquet, Francis Aidan. A Short History of the Catholic Church in England, 19
- Gregorovius, Ferdinand. II, 104
- Hunt, William. The English Church from Its Foundation to the Norman Conquest. Vol. 1. "A History of the English Church", W. R. W. Stephens and William Hunt, ed. London: Macmillan and Co., 1901. 42
- Jaffé, Regesta Pontificum Romanorum ab condita ecclesia ad annum 1198. Berlin, 1851; 2d ed., Leipsic, 1881–88. I, 220
- Joseph Langen, Geschichte der Römischen Kirche, 501
- Liber Pontificalis (ed. Duchesne), I, 317
- Mann, Horace K. Lives of the Popes I, 268–279
- Mansi, Gian Domenico. X, 501
- Paulo Shemasi, History of the Longobards, IV, 36 (37)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kuhusu Papa Boniface IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Biography Ilihifadhiwa 24 Machi 2005 kwenye Wayback Machine. from CFPeople.org
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |