Papa Adeodato I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Adeodato I.

Papa Adeodato I (pia aliitwa Deusdedit) alikuwa papa kuanzia 13 Novemba 615 hadi kifo chake tarehe 8 Novemba 618. Jina la baba yake lilikuwa Stephanus.

Alimfuata Papa Bonifasi IV akafuatwa na Papa Bonifasi V.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

{{m==Tazama pia==

Tazama pia

begu-Papa}}