Henri Dunant

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henri Dunant, takriban 1860

Henri Dunant (8 Mei 1828 - 30 Oktoba 1910) alikuwa mwandishi na mfadhili wa nchi ya Uswisi. Mwaka wa 1859 alianzisha Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu. Pia alisababisha Mapatano ya Geneva. Mwaka wa 1901, pamoja na Frederic Passy, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Dunant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.