Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Hii ni orodha ya makala za msingi kama 1000 ambazo kila kamusi elezo inahitaji. Ilianzishwa kutokana na orodha ya makala za msingi katika Meta:wikipedia iliyotengenezwa kama ushauri kwa wikipedia zote. Waanzilishaji wa wikipedia hii ya Kiswahili waliongeza majina na vichwa ambavyo walifikiri ni muhimu kwa mtazamo wa Kiafrika.

Orodha hii ya asili (mnamo mwaka 2006) inawekwa nyuma kidogo kwa muda kwa sababu ya matatizo ya lugha ndani yake. Hata hivyo inafaa kuangaliwa kwa majina na vichwa vya Kiafrika.
Kwa sasa orodha ya Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo inaonekana kutoka Mwanzo inayoonesha orodha ya Meta-Wiki ya Februari 2008.

Dhana za msingi[hariri chanzo]

 1. Binadamu
 2. Mwanaume
 3. Mwanamke
 4. Mtoto
 5. Mvulana
 6. Msichana
 7. Mnyama
 8. Mboga za majani
 9. Madini
 10. Wanyama

Wanyama, Ndege, Wadudu, Mimea[hariri chanzo]

  1. Aina za wanyama
   1. Swala
   2. Tembo
   3. Duma
   4. Mbwa
   5. Simba
   6. Fisi
   7. Sungura
   8. Chui
   9. Kifaru
   10. Kiboko
   11. Twiga
   12. Ngamia
   13. Mbuzi
   14. Kondoo
   15. Ng'ombe
   16. Nguruwe
   17. Punda
   18. Farasi
   19. Dinosaurs
  2. Hifadhi za taifa
   1. Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro
   2. Hifadhi ya Serengeti
   3. hifadhi ya Mkomazi
   4. Hifadhi ya Tsavo
   5. Hifadhi ya Kurger
   6. Hifadhi ya Mikumi
  3. Aina za ndege
   1. Korongo
   2. Mbuni
   3. Kwale
   4. Kanga
   5. Njiwa
   6. Kunguru
   7. Tai
   8. Kipanga
   9. Yangeyange
   10. Kibisi
   11. Tandawala
   12. Kitwitwi
   13. Shakwe
   14. Firigogo
   15. Kasuku
   16. Shorobo
   17. Kekeo
   18. Bundi
   19. Kirukanjia
   20. Teleka
   21. Mdiria
   22. Zuwakulu
   23. Kigong'ota
   24. Kipozamataza
   25. Kipimanjia
   26. Mbayuwayu
   27. Kurumbiza
   28. Shore
   29. Kucha
   30. Kidenenda
   31. Kolokolo
   32. Kinengenenge
   33. Domofupi
   34. Bwiru
   35. Mbwigu
   36. Kipwe
   37. Gude
   38. Kunguru
   39. Kuzi
   40. Chozi
   41. Korobindo
   42. Kwera
   43. Kweche
   44. Mtolondo
   45. Mshigi
   46. Tongo
   47. Chiriku
   48. Kibarabara
  4. Aina za mimea
   1. Mwarobaini
  1. Aina za wadudu
   1. Sisimizi
   2. Panzi
   3. Nyuki

Falsafa na Dini[hariri chanzo]

  1. Wanafalsafa
  2. Akili
  3. Nafsi
  4. Hiari
  5. Ukweli
  6. Ufahamu
  7. Metafizikia
  8. Maadili
  9. Epistemolojia
  10. Ubuntu
 1. Dini
  1. Mungu
  2. Uatheisti
  3. Dini za jadi
  4. Ukristo
  5. Uislamu
  6. Uyahudi
  7. Ubuddha
  8. Uhindu
  9. Ujain
  10. Shinto
  11. Usinga
  12. Utao
  13. Vudu
  14. Uzoroaster

Kumbukumbu za watu[hariri chanzo]

Sentensi chache kuhusu watu 1000 mashuhuriWanamuziki[hariri chanzo]

 1. Ali Farka Toure
 2. Fela Kuti
 3. Siti Binti Saad
 4. Hugh Masekela
 5. John Lennon
 6. Oliver Mtukudzi
 7. Bi Kidude
 8. Bob Marley
 9. Hukwe Zawose
 10. Dakta Nathan
 11. Peter Tosh
 12. Lucky Dube
 13. Tracy Chapman
 14. Angelique Kidjo
 15. Elton John
 16. Bruce Springsteen
 17. Lokua Kanza
 18. Gilberto Gil
 19. Manu Chao
 20. John Coltrane
 21. Stevie Wonder
 22. Eminem
 23. Femi Kuti
 24. Mbaraka Mwinshehe
 25. Tshala Muana
 26. Mpongo Love
 27. Dorothy Masuka
 28. Cesaria Evora
 29. Zap Mama
 30. Franco Luambo Makiadi
 31. Tabou Ley
 32. Fadhili William
 33. Fundi Konde
 34. Sam Mangwana
 35. Ella Fitzgerald
 36. Sarah Vaughan
 37. Abdulla Ibrahim
 38. Keith Jarret
 39. Nat King Cole
 40. Natalie Cole
 41. Salif Keïta
 42. Marijani Rajab
 43. Wolfgang Amadeus Mozart
 44. Miriam Makeba
 45. Manu Dibango
 46. Michael Jackson
 47. Geofrey Oryema
 48. Paul Simon
 49. Carola Kinasha
 50. Peter Gabriel
 51. Remmy Ongala
 52. Baaba Maal
 53. Tupac Shakur
 54. Johann Sebastian Bach
 55. Joseph Hill

Wachoraji[hariri chanzo]

 1. Edward Tingatinga
 2. Elias E. Jengo
 3. Pablo Picasso
 4. Leonardo da Vinci
 5. Vincent Van Gogh
 6. Salvador Dali

Wachongaji[hariri chanzo]

Wafinyanzi[hariri chanzo]

Wasafiri[hariri chanzo]

 1. Tippu Tip


Wanasayansi na Wavumbuzi[hariri chanzo]

Wanasayansi[hariri chanzo]

Wavumbuzi[hariri chanzo]

 1. Alexander Bell Graham
 2. Benzi Karl Fredrick
 3. Newton Issack

Waandishi na Wanafalsafa[hariri chanzo]

 1. Shaban Robert
 2. Abulrazak Gurnah
 3. Ebrahim Hussein
 4. Euphrase Kezilahabi
 5. Shaffi Adam Shaffi
 6. Muhammed Said Abdulla
 7. William Shakespeare
 8. Binyavanga Wainaina
 9. Shafi Adam Shafi

Wanasiasa[hariri chanzo]

 1. Mwalimu Julius Nyerere
 2. Kwame Nkrumah
 3. Jomo Kenyatta
 4. Shaka Zulu
 5. Nelson Mandela
 6. Martin Luther King
 7. Graca Machel
 8. Abdulrahaman Babu
 9. Thomas Sankara
 10. Samora Machel
 11. Kenneth Kaunda
 12. Milton Obote
 13. Thabo Mbeki
 14. Patrice Lumumba
 15. Agostinho Neto
 16. Leopold Senghor
 17. Ellen Johnson-Sirleaf
 18. Bill Clinton
 19. Sekou Toure
 20. Fidel Castro
 21. Steve Biko
 22. Robert Mugabe
 23. Yoweri Museveni
 24. Kiiza Besigye
 25. Getrude Mongella
 26. Winnie Mandela
 27. Hillary Clinton
 28. Barack Obama
 29. John F. Kennedy
 30. Nebuchadnezzar
 31. Haile Selassie
 32. Koigi Wamwere
 33. Che Guevara

Wanasiasa wa Kinazi na Kifashisti[hariri chanzo]

 1. Adolf Hitler
 2. Benito Mussolini
 3. Idd Amini
 4. Ian Smith
 5. Jon Vorster
 6. Duke of Windsor
 7. Prescott Bush
 8. Ariel Sharon
 9. Francisco Franco
 10. Augusto Pinochet
 11. Jenerali Petain
 12. Kurt Waldheim
 13. Hermann Goering
 14. Harold MacMillan

Wanazuoni Wanaharakati/Wanamapinduzi[hariri chanzo]

 1. Walter Rodney
 2. Dedan Kimathi
 3. Nelson Mandela
 4. David Icke
 5. Alice Walker
 6. Credo Mutwa
 7. Kwame Nkrumah
 8. Martin Luther King
 9. Amilcar Cabral
 10. Agostinho Neto
 11. Franz Fanon
 12. Jaramogi Oginga Odinga
 13. Marcus Garvey
 14. W E B Dubois
 15. Julius K Nyerere
 16. Cheikh Antar Diop
 17. Aime Cesaire

Wanaharakati wenye siasa kali[hariri chanzo]

 1. Ken Saro-Wiwa
 2. Steve Biko
 3. Malik Zulu Shabazz
 4. Stokley Carmichael/Kwame Ture
 5. Louis Farrakhan
 6. Angela Davis
 7. Malcolm X

Viongozi wa Kimataifa[hariri chanzo]

 1. Koffi Annan
 2. Salim Ahmed Salim
 3. Boutrous Boutrous-Ghali
 4. Djibril Diallo
 5. Desmond Tutu

Wanawake katika historia[hariri chanzo]

 1. Cleopatra
 2. Mbuya Nehanda
 3. Indira Gandhi
 4. Sojourner Truth
 5. Malkia Nzingha Mbandi
 6. Nefertiti
 7. Yaa Asantewaa
 8. Bibi Titi Mohammed
 9. Malkia Elizabeti wa I (wa Uingereza)
 10. Malkia Viktoria (wa Uingereza)
 11. Malkia Makeda wa Sheba (wa Ethiopia)
 12. Mtakatifu Joan
 13. Rachel Carson
 14. Marie Curie
 15. Emma Goldman
 16. Mary Harris (Mother Jones)
 17. Frida Kahlo
 18. Rosa Luxemburg
 19. Florence Nightingale
 20. Rosa Parks
 21. Eva Peron
 22. Harriet Tubman
 23. Corretta Scott King
 24. Mekatilili Wa Menza
 25. Ruth Abwao
 26. Syotune Wa Kathukye
 27. Saraounia
 28. Efua T Sutherland
 29. Bessie Head

Fasihi[hariri chanzo]

 1. Murogi wa Kagogo
 2. Kusadikika
 3. Kufikirika
 4. Rosa Mistika
 5. Mtawa Mweusi
 6. Safari ya Utumwa
 7. Paradise
 8. By the Sea
 9. Alfu Lela U Lela
 10. Kitabu cha Kimisri cha Wafu
 11. Kurani
 12. Biblia
 13. Bhagavad Gita
 14. Tao Te Ching
 15. Visa vya Esopo
 16. Invisible Cities

Muziki[hariri chanzo]

 1. Aina za muziki
  1. Rege
  2. Blues
  3. Mchiriku
  4. Tango
  5. Mnanda
  6. calpso
  7. Jazz
  8. Chakacha
  9. Taarab
  10. Salsa
  11. Rhumba
 2. Bendi za muziki
  1. Orchestra Baobab
  2. Simba Wanyika
  3. DDC Mlimani Park Orchestra
  4. OTTU Jazz Band
  5. The Kilimanjaro Band
  6. Dar international
  7. Jamhuri Jazz Band
  8. Mwenge Jazz Band
  9. Super Volcano
  10. Ladysmith Black Mambazo
  11. Dave Mathews Band
  12. The Wailers
  13. The Beatles
  14. ABBA
  15. Boney M
  16. Gyspsie Kings
 3. Ngoma za asili
  1. Mdundiko
  2. Mdumange
  3. Madungu
  4. Sindimba
  5. Kilumi
  6. Myali
  7. Mwomboko
  8. Mwethya
  9. Chakacha

Michezo [hariri chanzo]

 1. Wanamichezo
  1. Mohammed Ali
  2. Abebe Bikila
  3. Filbert Bayi
  4. Mike Tyson
  5. Maria Mutola
  6. Gabriel Selassie
  7. Tiger Woods
  8. Serena Wiliams
  9. Joe Louis
  10. Pele
  11. Tiger Woods
  12. Diego Maradona
  13. Pete Sampras
  14. Rashid Yekini
  15. Henry Rono
  16. Samwel Eto'o
 1. Kombe la Dunia
  1. Kombe la Dunia la FIFA

Wacheza Filamu[hariri chanzo]

  1. Jackie Chan
  2. Silverster Stallone
  3. Bruce Lee
  4. Denzel Washington
  5. Eddie Murphy
  6. Brigitte Bardot
  7. Sarah Bernhardt
  8. Marlon Brando
  9. Charlie Chaplin
  10. Marlene Dietrich
  11. Marx Brothers
  12. Marilyn Monroe

Watengeneza Filamu[hariri chanzo]

 1. Michael Moore


Filamu[hariri chanzo]

 1. Sarafina
 2. Shamba kubwa
 3. Yomba Yomba
 4. Star Wars
 5. Invasion U.S.A
 6. The Return of Mummies
 7. Crash
 8. Coming to America

Nchi, Sheria, na Siasa[hariri chanzo]

Jedwali lenye sentensi fupi kuhusu nchi zilizopo kwenye orodha hii: http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries

 1. Azimio la Arusha
 2. Manifesto ya Kikomunisti
 3. Katiba
 4. Azimio la Haki za Mtu
 5. Sheria
 6. Magna Carta
 7. Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu

Siasa[hariri chanzo]

 1. Uanakisti
 2. Anaki
 3. Ujamaa
 4. Ukomunisti
 5. Ubepari
 6. Ubeberu
 7. Demokrasia
 8. Udikteta
 9. Ufashisti
 10. Itikadi kali
 11. Utandawazi
 12. Uliberali
 13. Ufalme
 14. Utaifa
 15. Ubaguzi wa rangi
 16. Jamhuri
 17. Ugawaji wa madaraka
  1. Mahakama
  2. Bunge
  3. Utawala
 18. Chama cha siasa
 19. Serikali ya kidini

Vyama vya siasa[hariri chanzo]

 1. African National Congress
 2. Kenya African National Union
 3. Chama cha Mapinduzi
 4. Labour Party -UK
 5. Movement for Multiparty Democracy
 6. South West African People's Organization - Namibia
 7. Democratic Party - USA
 8. Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 9. Republican Party - USA
 10. Civic United Front - Tanzania
 11. Zimbabwe African National Union
 12. Tanzania Labour Party

Maarifa ya nyumbani[hariri chanzo]

Vyakula[hariri chanzo]

 1. Mkate
 2. Kahawa
 3. Mahindi
 4. Pamba
 5. Kunde za soya
 6. Ngano
 7. Shayiri
 8. Tunda
  1. Tofaa
  2. Ndizi
  3. Zabibu
  4. Limao
  5. Chungwa
  6. Embe
 9. Mboga za majani
 10. Tumbaku
 11. Jibini
 12. Pombe
 13. Chai
 14. Mchele
 15. Injera
 16. Ugali
 17. Mchuzi
 18. Kande
 19. Vifaa vya kupikia
  1. Kinu
  2. Ungo

Magonjwa[hariri chanzo]

 1. Malaria
 2. Utapiamlo
 3. Uti wa mgongo
 4. Mafua ya ndege
 5. Ukimwi
 6. Kifua kikuu
 7. Shinikizo la damu
 8. Kansa
 9. Ngiri maji

Vinywaji[hariri chanzo]

 1. Vileo
  1. Bia
  2. Mbege
  3. Mvinyo
 2. Kola
 3. Kahawa
 4. Chai
 5. Maji
 6. Maziwa
 7. Togwa
 8. Mnazi

Jiografia[hariri chanzo]

Kama sentensi tatu hivi kwa kila bara:

 1. Afrika
 2. Antaktika
 3. Asia
 4. Oceania
 5. Ulaya
 6. Amerika ya Kaskazini
 7. Amerika ya Kusini

Maeneo mengine[hariri chanzo]

 1. Mashariki ya Kati


Milima, Mito, Maziwa, Maporomoko, Bahari, Mapango[hariri chanzo]

 1. Sahara
 2. Andes
 3. Mto Amazon
 4. Mto Nile
 5. Bahari ya Atlantiki
 6. Bahari ya Hindi
 7. Bahari ya Pasifiki
 8. Bahari ya Kusini
 9. Bahari ya Aktiki
 10. Bahari ya Mediteranea
 11. Bahari Nyeusi
 12. Bahari ya Kaskazini
 13. Bahari ya Baltiki
 14. Volkano
 15. Milima ya Himalaya
 16. Mlima Alps
 17. Mlima Kilimanjaro
 18. Mlima Kenya
 19. Mlima Meru
 20. Mto Mississippi
 21. Maporomoko ya Niagara
 22. Maporomoko ya Mosi oa Tunya (Viktoria)
 23. Ziwa Nyasa (Ziwa Malawi)
 24. Ziwa Tanganyika
 25. Ziwa Victoria
 26. Mapango ya Amboni

Maafa ya asili[hariri chanzo]

 1. Tsunami
 2. Tetemeko la ardhi
 3. Mlipuko wa volkano
 4. Mafuriko

Miji[hariri chanzo]

Miji mikubwa duniani -- vigezo: umuhimu wa kihistoria, idadi ya watu, ukubwa wa mji:

 1. Cairo
 2. Johannesburg
 3. Dar Es Salaam
 4. Dodoma
 5. London
 6. Paris
 7. Berlin
 8. Nairobi
 9. Lagos
 10. Abuja
 11. Cape Town
 12. Istanbul
 13. St. Petersburg
 14. Moscow
 15. Jerusalem
 16. Mecca
 17. Tokyo
 18. Athens
 19. Roma
 20. Shanghai
 21. Beijing
 22. New York
 23. Washington
 24. Bombay (Mumbai)
 25. Buenos Aires
 26. Seoul
 27. Jakarta
 28. Karachi
 29. Manila
 30. Sao Paulo
 31. Mexico City
 32. Dhaka
 33. Tehran
 34. Lima
 35. Bogota
 36. Bangkok
 37. Kinshasa
 38. Rio de Janeiro
 39. Baghdad
 40. Calcutta (Kolkata)
 41. Bangalore
 42. Tianjin
 43. Osaka
 44. Los Angeles
 45. Hong Kong
 46. Accra
 47. Windhoek

Fedha[hariri chanzo]

 1. Shilingi
 2. Dola ya Kimarekani
 3. Pauni ya Kiingereza
 4. Euro
 5. Yen
 6. Pula
 7. Rupia
 8. Randi
 9. Kwacha
 10. Kwanza
 11. Dola ya Kanada

Historia[hariri chanzo]

Kama sentensi tano kuhusu yafuatayo:

 1. Hujanenda
 2. Akiolojia
 3. Zama za mawe
 4. Zama za chuma
 5. Misri ya Kale
 6. Dola ya Mali
 7. Dola ya Ghana
 8. Ustaarabu wa bonde la mto Nile
 9. Utumwa
 10. Ukoloni
 11. Ubaguzi wa rangi

Tarakilishi na Mtandao wa tarakilishi[hariri chanzo]

Watu mashuhuri:

 1. Tim Berners-Lee
 2. Bill Gates
 3. Steve Jobs
 4. Donald Knuth
 5. Richard Stallman
 6. Alan Turing
 7. Linus Torvalds
 8. Dennis Ritchie
 9. Pele

Matumizi ya Intaneti:

 1. IRC
 2. Barua pepe
 3. Blogu
 4. Podikasiti

Sikukuu[hariri chanzo]

 1. Kwanzaa
 2. Hannukah
 3. Diwali
 4. Krismasi
 5. Idd El Fitr
 6. Idd Mubarak
 7. Mwaka mpya
 8. Pasaka
 9. Siku ya wapendanao

Sayansi[hariri chanzo]

Fizikia[hariri chanzo]

Astronomia[hariri chanzo]

 1. Falaki
 2. Asteroidi
 3. Mlipuko Mkuu
 4. Shimo jeusi
 5. Kometi
 6. Galaksi
  1. Kilimia
 7. Mwaka wa nuru
 8. Mwezi
 9. Sayari
  1. Dunia
  2. Mshtarii
  3. Mrihi
  4. Utaridi
  5. Neptun
  6. Zohali
  7. Uranus
  8. Zuhura
 10. Mfumo wa jua
 11. Nyota
  1. Jua
 12. Ulimwengu


Kemia[hariri chanzo]

Vipimo[hariri chanzo]

 1. Joule
 2. Kilogramu
 3. Lita
 4. Mita
 5. Newton
 6. SI
 7. Volt
 8. Watt
 9. Sekunde
 10. Kelvini