Marlon Brando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marlon Brando kama mhusika mkuu katika filamu ya A Streetcar Named Desire.

Marlon Brando (3 Aprili 19241 Julai 2004) alikuwa mwigizaji wa filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana miaka ya nyuma kama vile; A Streetcar Named Desire (1951), The Wild One (1953), The Godfather (1972), Superman (1978), Apocalypse Now (1979), na The Island of Dr. Moreau (1996).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marlon Brando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.