Marx Brothers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kundi la Marx Brothers. Kutoka juu hadi chini: Chico, Harpo, Groucho na Zeppo

Marx Brothers kilikuwa kikundi mashuhuri cha watu watano walio ndugu wachekeshaji wa katika makumbi, filamu na katika televisheni. Ndugu hao alikuwemo Chico, Harpo, Groucho, Gummo na Zeppo.

Marx Brothers walianza kama kundi la muziki, wakati wa maonyesho ya vaudeville (maonyesho ya vichekesho na sanaa katika maukumbi). Walikuwa wakifanyiana utani, kucheza sehemu za kuchekesha na kujifanya kama wanataka kupigana wakati wa maonyesho yao.

Wakiwa wnafanya maonysho yao huwa wanapata kupigiwa makofi na kufanya vizuri kuliko kazi yao rasmi ya muziki na baadaye likajakuwa kundi la vichekesho na muziki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marx Brothers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.