Mchuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchuzi

Mchuzi ni kitoweo cha majimaji kinachopikwa kwa kuchanganya nyama au samaki n.k. pamoja na viungo kama vile binzari, vitunguu, mafuta, chumvi na nyanya.

Kuna aina nyingi za mchuzi. Mchuzi wa bata na kuku ni mtamu sana; wachanganywa na viungo na mafuta: ladha yake ni ya pekee.

Mchuzi ni msingi wa chakula cha supu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchuzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.