Supu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina ya supu kutoka China.

Supu (kutoka Kiingereza "soup") ni kimiminika kitamu kilichochanganywa na nyama au tambi, mboga za majani n.k.

Katika supu baadhi ya watu huweka karoti, limao, wengine huweka pilipili na pia watu hulia na chapati n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Supu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.