Pilipili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina za pilipili kutoka India.

Pilipili ni tunda refu au la mviringo la mpilipili lenye rangi ya kijani, manjano, machungwa au nyekundu.

Pilipili huwa na tabia ya kuwasha walau kiasi.

Pilipili huwekwa kwenye supu, mboga mbalimbali, chipsi, sambusa n.k. ili kuongeza ladha au hamu ya chakula.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pilipili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.