Sambusa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sambusa

Sambusa (kutoka Kifarsi: سنبوساگ‎‎) ni kitafunwa kilichokaangwa chenye umbo la pembetatu na ambacho hutiwa ndani nyama iliyosagwa, mboga au viazi.

Asili yake ni Mashariki ya Kati kabla ya karne ya 10.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sambusa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.