Kitafunwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mfano wa vitafunwa huko Uingereza.

Kitafunwa (au kitafunio, kutoka kitenzi "kutafuna") ni chakula ambacho hupendwa sana kuliwa pamoja na kinywaji fulani, kama vile chai, soda, kahawa, juisi na vinginevyo.

Mfano wa vitafunwa vilivyozoeleka Afrika Mashariki ni kama vile karanga, mishikaki, maandazi, sambusa, kitumbua na vingineyo.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitafunwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.