Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa

  • kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.
  • Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana mengine bado ni fupi sana

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Februari 2016) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

 1. acceleration * sw: mchapuko
 2. addiction * sw: addiction
 3. algorithm * sw: algorithm
 4. animation * sw: animation
 5. Capacitor * sw: kapasita
 6. classical mechanics * sw: classical mechanics
 7. complex number * sw: namba changamano
 8. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
 9. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
 10. electronic music * sw: muziki wa elektroniki
 11. endocrine system * sw: mfumo wa homoni
 12. (mathematics) function * sw: namba tegemezi
 13. general relativity * sw: general relativity
 14. inductor * sw: inductor
 15. infinity * sw: infinity
 16. information * sw: taarifa
 17. linear algebra * sw: linear algebra
 18. logarithm * sw: logi
 19. martial arts * sw: martial arts
 20. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
 21. mathematical proof * sw: mathematical proof
 22. Mind * sw: mind
 23. nuclear fission * sw: nuclear fission
 24. number theory * sw: number theory
 25. numerical analysis * sw: numerical analysis
 26. operating system * sw: operating system
 27. pandemic * sw: pandemia
 28. physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
 29. programming language * sw: programming language
 30. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
 31. resistor * sw: resistor
 32. semiconductor * sw: semiconductor
 33. set theory * sw: set theory
 34. software * sw: software
 35. special relativity * sw: special relativity
 36. strong interaction * sw: strong interaction
 37. thermodynamics * sw: mwendojoto
 38. transformer * sw: transfoma
 39. transistor * sw: transista
 40. weak interaction * sw: weak interaction


Zifuatazo ziliongezwa hadi Februari 2016 na kukosekana katika orodha hapo juu