Shenzhen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Futian Mjini Shenzhen
Shenzhen
Shenzhen city montage.png
Bendera ya Shenzhen
Bendera
Nchi China
Jimbo Guangdong
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,968,300
Tovuti:  www.sz.gov.cn

Shenzhen (kwa Kichina: 深圳市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 12 wanaoishi katika mji huu.

Flag-map of the People's Republic of China.svg Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shenzhen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.