Toshiro Mifune
Jump to navigation
Jump to search
Toshiro Mifune (1 Aprili, 1920 – 24 Desemba, 1997) alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kijapani. Filamu nyingi za Mifune zilikuwa maarufu sana katika Japani. Na zilikuwa zikipendwa na watu wengi tu duniani.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Toshiro Mifune kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |