Alfred Hitchcock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Hitchcock.

Mh. Alfred Joseph Hitchcock (13 Agosti 189929 Aprili 1980) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji filamu mkubwa wa Kiingereza. Yaaminika kwamba Alfred Hitchcock ndiyo mgunduzi na mwanzilishi wa mtindo mingi ya filamu za kusisimua na za aina ya kutisha. Baada ya kuongoza baadhi ya filamu za huko Uingereza, Alfred alielekea mjini Hollywood na akaja kuwa raia wa Marekani kunanko mwaka wa 1956.

Moja kati ya filamu alizoongoza Alfred ni kama ifuatavyo: The Lodger (1927), The Lady Vanishes (1938), Rebecca (1940), The Man Who Knew Too Much (1934 na ilijengwa upya mnamo 1956), Rear Window (1954), Vertigo (1958), North by Northwest (1959), Psycho (1960), The Birds (1963), Topaz (1969) na Frenzy (1972). Alfred vilevile ni mtangazaji na mwongozaji wa kipindi cha TV kiitwacho Alfred Hitchcock Presents.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Hitchcock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.