Ob

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ob (Обь)
Mto ob
Mdomo Bahari ya Kara
Nchi Urusi
Urefu 3,650 km
Mkondo 12,492 m³/s
Eneo la beseni 2,990,000 km²
Miji mikubwa kando lake Barnaul, Surgut, Salehard

Ob (Kirusi: Обь) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni 3650 km. Inapita katika mikoa ya Altai Krai, Novosibirsk Oblast, Tomsk Oblast, Mkoa Huru wa Hanty-Mansi na Mkoa Huru wa Yamalo-Nenets.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]