Nenda kwa yaliyomo

Freddie Mercury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Freddie Mercury (1977)

Freddie Mercury (5 Septemba 194624 Novemba 1991) alikuwa mwimbaji wa bendi ya Queen, ambayo inapiga muziki wa rock. Freddie Mercury alizaliwa mjini Zanzibar katika familia ya Waparsi yenye asili ya Uhindi, lakini yeye na familia yake walihamia Uingereza baada ya mapinduzi ya Zanzibar alipokuwa bwana mdogo. Yeye, Brian May, Roger Taylor na John Deacon waliumba Queen mwaka 1970. Kwa Queen aliandika nyimbo zingi maarafu, kama "Bohemian Rhapsody", "Killer Queen", "Somebody to Love", "Don't Stop Me Now", "Crazy Little Thing Called Love" na "We Are the Champions".

Mercury alifanya pia albamu bila Queen. Alifanya Mr. Bad Guy pekee, na Barcelona pamoja na Montserrat Caballé.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]